Popular Posts

Saturday, February 27, 2016

Tyga kafunguka kuhusu Kylie Jenner,beef na Drake, album mpya.



 

By

tyga-kmel
Rapper Tyga ameongelea mambo tofauti kwenye maisha yake wakati wa interview aliyofanyiwa hivi karibuni.
Tyga kuhusu kutoka na Kylie Jenner kabla hajafikisha miaka 18 >> “Sikuweza kuongelea hili swala mapema sababu kila mtu alitaka kuponda na kuhukumu wakati mimi nilikuwa namuona ni mtu mzuri na napenda kuwa naye”
Kuhusu beef yake na Drake >>“Hapakuwa na tatizo, ilikuwa kupishana kauli tu  na vyombo vya habari vikachochea jambo hili,hatukuonana kwa muda mretu ila mambo yako powa, sasa Kanye katupatanisha na yameisha”.
Tyga pia amesema yeye na kaka yake wanatayarisha filamu yao mpya na kwamba ana album mpya ila ni mapema kuiongelea.
Kuhusu Justin Bieber, Tyga anasema nilikutana naye miaka mitatu iliyopita tukafanya wimbo, na hapo aka niweka kwenye Snapchat ila toka amenifundisha miaka hio sijawahi kuitumia”.

No comments:

Post a Comment