Popular Posts

Thursday, March 3, 2016

Miji 10 ya Afrika yenye Matajiri wenye utajiri wa zaidi ya BILIONI 60… Afrika Mashariki imetajwa miwili tu !



Hii ni dunia ambayo kila siku kuna watu wanafanya utafiti wa vitu duniani…
 sasa leo March 4 2016 nakuletea matokeo ya utafiti uliofanywa kwenye
 bara la Afrika na kuonyesha kwamba ifuatayo ndio miji kumi ya nchi za
 Afrika ambako Matajiri wengi wanapatikana.
Kila tajiri aliejumuishwa kwenye hii list ni yule aliye na utajiri unaozidi dola
 za kimarekani milioni 30 ambazo kwa Tanzania ni zaidi ya BILIONI 65 
 ambapo moja ya miji hiyo 10 Dar es salaam ipo pia ikiwa nafasi ya sita
 ikiwa na matajiri 36 wenye utajiri huo.
List kamili kwenye nafasi ya kumi ni mji wa 10Kano Nigeria
9Marrakesh Morocco 8Addid Ababa Ethiopia 7Abuja Nigeria 
 6Dar es salaam Tanzania 5Nairobi Kenya ambako kuna matajiri 
wa aina hiyo wapatao 69. Namba 4 ni Capetown South Africa yenye 
matajiri 115 wa aina hiyo. 3- Lagos Nigeria yenye 131 2- Cairo Egypt 
1. Johannesburg South Africa yenye matajiri wa aina hiyo 238.

No comments:

Post a Comment