Popular Posts

Sunday, February 28, 2016

Mambo matano usiyoyafahamu kuhusu Drake.

5 interesting unknown facts about Drake
1. He was the voice of “Ethan” on 
“Ice Age: Continental Drift
drake-ice-age-4
2. Amejenga basketball hoop ndan ya
 chumba chake
drake-salon
3.Ametoa dola 75,000 kusaidia ujenzi wa studio 
ndani ya Philadelphia high school
4. Alinunua kazi ya sanaa iliyokua na maandishi
 yasemayo,"LESS DRAKE, MORE TUPAC" kwa dola za
 kimarekani 6000
B4TB8JWCUAATcPJ
5.Alihitimu elimu ya juu akiwa na miaka 25
 baada ya kudrop kwa miaka 10
drake
A powerful force driving Donald J. Trump and Senator Bernie Sanders in the presidential race is the frustration of grass-roots voters that politicians in Washington haven’t kept their promises.
Democrats, though still high on President Obama, are upset about an economic recovery that benefited Wall Street more than Main Street, top executives more than workers.
The anger is more palpable among Republican voters, who ushered in big congressional majorities for the party, expecting to end Mr. Obama’s health care law, reduce the size of government, cut taxes and bolster national security. None of it happened.
With that track record of broken promises and with Mr. Trump emerging as the likely Republican presidential nominee, it’s good to look at his prominent promises and the critiques:

National security: Mr. Trump has pledged to be tough, to defeat the Islamic State by bombing oil fields, which he would then turn over to American companies. He would force Arabs to do the fighting against the Islamic State. He says he will “get along very well” with the Russian strongman Vladimir V. Putin, whom Mr. Trump has praised as a strong leader. He gets his foreign policy advice from watching television news programs, he says.
This doesn’t impress many foreign policy experts. “He has said very little of substance,” said former Senator Richard G. Lugar, an Indiana Republican who was chairman of the Foreign Relations Committee. “It appears he doesn’t have a real grasp of the range of complex issues or hasn’t done his homework.”
Leon E. Panetta, who served as defense secretary and director of the Central Intelligence Agency in the Obama administration, said, “It’s the sort of stuff you expect to hear at the bar at the count

Mass deportations: Mr. Trump proposes removing from the United States 11 million undocumented immigrants within two years. He poses the challenge in simple terms: “They say you have to go through a huge legal process. You don’t. They are illegal.”
The American Action Forum, a right-of-center research organization run by Douglas Holtz-Eakin, a prominent Republican economist, will soon release a study on the economic impact of Mr. Trump’s plan: The number of personnel devoted to apprehensions would soar to 90,582 from 4,844; the number of attorneys and courts would increase twentyfold; the number of detention beds would increase tenfold; and almost 100,000 chartered buses and flights would be required. American Action estimates that the cost to the economy would be $1 trillion.
The Pew Research Center, which is nonpartisan, calculates that the deportations would cause big job losses in sectors of the economy: 26 percent of farming, fishing and forestry workers; 17 percent of building maintenance and cleaning personnel; and 14 percent of construction workers. Studies showed that many of these jobs would go unfilled, devastating the economy, says the Center for American Progress, a liberal think tank.

UNAMJUA MTU MREFU KULIKO WOTE TANZANIA?

Inasemekana ni kijana mrefu kuliko wote Tanzania. Kijana huyu
 (katikati pichani) ambaye anadhaniwa ni mrefu kuliko vijana wote
 Tanzania anaishi maeneo ya Gongolamboto, Banana jijini Dar es salaam.
Kijana huyu huwa haonekani sana mitaani, lakini aliingia mjini siku hiyo 
 na kuleta kizaa zaa kikubwa pale alipoibuka mitaa ya Aggrey, Kariakoo. 
Alikuwa kivutio kwa kila aliyemuona, alifunga mtaa watu wakimshangaa 
na kumgombania kupiga nae picha. Kila aliyetaka kupiga nae picha alitoa
 Shilingi elfu moja Tsh. 1000. 

Picha hiyo amepigwa ndani ya Kinyozi (Salon) aliyoingia kupunguza nywele
 zake na umati wa watu walikuwa nje ya kinyozi huyo kumsubiri atoke. 
Mpaka sasa hajajulikana jina lake kamili na anafanya nini. Inasemekana 
kuna watu wanamfuatilia kumsaidia umaarufu.
 
 
Ukimuangalia kwa mara ya kwanza mchezaji wa Tanzania anayecheza
 timu ya kikapu ya Oklahoma City Sounders inayoshiriki Ligi ya Kikapu
 Marekani (NBA), Hasheem Thabit unaweza kujiridhisha kwamba ni mrefu
 kuliko Watanzania wote uliowahi kuwaona. Ana futi 7.3.
Lakini mjini Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani kwenye shule ya Lord Barden
 yupo mchezaji anayemzidi Hasheem kwa urefu akiwa na futi 7.5.
 

Man Utd 3 - 2 Arsenal

Man Utd 3 -2 Arsenal

90'+5'
Mpira umekwisha.
90'+3'
Adnan Januzaj (Manchester United) aoneshwa kadi 
ya njano
90'+2'
Mesut Özil (Arsenal) aoneshwa kadi ya njano
88'' Kona ya Manchester United.
83'' Badiliko
Man Utd 3 -2 Arsenal
Arsenal. Alex Iwobi anachukua nafasi ya Danny Welbeck
 uwanjani.
80'' Man Utd 3 -2 Arsenal
Manchester United.
 

Adnan Januzaj anachukua nafasi ya mfungaji mabao
Marcus Rashford
76'' Man Utd 3 -2 Arsenal
Aaron Ramsey na Ander Herrea wanaendelea na vuta
 nikute uwanjani.
Kocha Van Gaal amekasirishwa na uamuzi wa refarii
69''GOOOOOOOL
Man Utd 3 -2 Arsenal
Mesut Ozil
GOOOOOOOOOOOL
Man Utd 3 -1 Arsenal
Ander Herrera


Beijing yaipiku New York kwa mabilionea

BeijingJiji la Beijing limelipita jiji la New York katika kuwa na idadi kubwa 
ya mabilionea, ripoti mpya ya shirika la Hurun kutoka Uchina inasema.
Mabilionea 100 kwa sasa wanaishi katika jiji hilo kuu la Uchina, 
wakilinganishwa na mabilionea 95 wanaoishi New York, ripoti hiyo inasema.
Jiji la Shanghai, kitovu cha kiuchumi nchini Uchina, limo nambari tano.
Hurun, shirika ambalo hufuatilia utajiri na huduma za kifahari nchini Uchina,
 limekuwa likitoa orodha ya matajiri wa kupindukia duniani kwa miaka mitano
 iliyopita, wakihesabu mabilionea kwa dola za Kimarekani.

 Wang JianlinWang Jianlin, tajiri wa kwanza China
Waligundua kwamba Beijing imepata mabilionea 32 wapya tangu mwaka jana,
 na kuiwezesha kupita New York ambayo ilipokea mabilionea wanne wapya pekee.
Kwa ujumla, Uchina pia imeipita Marekani kwa kuwa na mabilionea wengi zaidi 
duniani.
Hata hivyo Wamarekani bado wanatawala katika orodha ya mabilionea 10 wakuu zaidi katika orodha hiyo ya Hurun.
Uchina ina mabilionea 568 baada ya kuongeza mabilionea 90 nayo Marekani ina 
mabilionea 535.
 Mabilionea


Mabilionea wa Uchina kwa pamoja wana utajiri wa $1.4 trilioni (£1.01 trilioni),
 ambao ni sawa na mapato ya jumla ya Australia.
Mtu tajiri zaidi Uchina bado ni Wang Jianlin, ambaye utajiri wake unakadiriwa
 kuwa $26bn (£18.8bn).
Mmarekani tajiri zaidi ni Bill Gates aliye na $80bn, akifuatwa na Warren Buffett
 mwenye utajiri wa $68bn.
Nambari tatu inakaliwa na tajiri wa mavazi kutoka Uhispania Amancio Ortega
 aliye na utajiri wa $64bn. Ripoti hiyo ya Hurun inasema kwa sasa kuna mabilionea
 2,188 duniani, ambayo ni rekodi mpya.

Polisi apigwa risasi siku yake ya kwanza kazini

Polisi mmoja wa kike nchini Marekani amepigwa risasi na kuuawa katika siku yake ya kwanza kazini.
Askari huyo bi Ashley Guindon alikula kiapo mapema siku hiyo hiyo kisha akaelekezwa na wakubwa wake kwenda nyumbani kwa mama mmoja kutatua mzozo wa kinyumbani katika kitongoji Washington, DC.
Bi Ashley akiandamana na wenzake wawili walikwenda Woodbridge, Virginia, kilomita 32 kusini mwa Washington lakini walipofika huko walifyatuliwa risasi na kwa bahati mbaya Ashley hakubahatika.
Wenzake wawili pia walijeruhiwa vibaya na wamelazwa hospitalini.



Mshukiwa wa mauaji hayo ni mlengaji shabaha katika jeshi la Marekani aliwazidi maarifa maafisa hao wachanga.
Mwanjeshi huyo alikamatwa baadaye na vitengo maalum vya polisi.
Mwanjeshi huyo alikuwa amempiga risasi na kumuua mkewe papo hapo kabla ya Ashley na wenzake kutokea.
Hakukuwa na mtoto nyumbani wakati wa ufyatulianaji huo wa risasi.
Afisa mkuu wa kituo " Tunasikitika kuwatangazia kifo cha afisa wa polisi wa kituo cha Prince William County bi,Ashley Guindon, aliaga dunia kufuatia ufyatulianaji risasi katika mtaa wa Lashmere Ct akiwa kazini.

Mapema siku hiyo hiyo kituo hicho kilikuwa kimetoa picha ya afande huyo kwenye mtandao wa Twitter ikimkaribisha kwa huduma kwa wote.
''Tunafurahi kuwakaribisha afande Ashley Guindon na mwenzake kwa huduma kwa wote''


Mji wa India wapiga marufuku filamu

Mji wa kaskazini mwa India, Aligarh, umepiga marufuku filamu mpya yenye jina la mji huo, kuoneshwa huko, kwa sababu inahusu mapenzi ya jinsia moja.
Meya wa mji huo Shakuntala Bharti, alisema jina la filamu linafaa kubadilishwa, kwa sababu linahusisha mji huo na mapenzi ya jinsia moja, na hivo, kama alivosema, inautusi mji.
Chama cha wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Waislamu mjini huimo, wamekariri maoni yake.
Filamu hiyo inahusu maisha ya profesa wa chuo kikuu, ambaye alisimamishwa kazi, kwa sababu alifanya mapenzi ya jinsia moja, na baadaye alijiuwa.
Aliyetengeneza filamu hiyo, Hansal Mehta, amesema malalamiko yanayofanywa ni "chuki dhidi ya wapenzi wa jinsia moja".

Al Shabab yawaua 24 wakitizama Man U-Arsenal

Watu 24 wameuawa mjini Baidoa Kusini mwa Somalia wakitizama mechi baina ya Manchester United na Arsenal baada ya shambulizi lililotekelezwa na Al Shabab.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa milipuko miwili mikubwa ilitokea, katika
 mkahawa huo uliokuwa umejaa mashabiki wa mechi kati ya Manchester United
 na Arsenal.
Miongoni mwa wale waliouawa ni pamoja na afisa wa serikali ya jiji hilo.
Mji wa Baidoa ulitekwa na wapiganaji waislamu wa Al-Shabaab mwaka wa 2008,
 lakini walitimuliwa mwaka 2012.
Mji huo ulioko takriban kilomita 200 kutoka mji mkuu Mogadishu ni mji wa hivi
 punde zaidi kushambuliwa na wanamgambo hao wa kiislamu.
Shambulizi la kwanza lilitokea katika mgahawa maarufu unaopendwa na wageni na
 viongozi wa kisiasa ambao ulishambuliwa kwa gari lililokuwa limetegwa bomu.


Walionusurika waliokolewa na wanajeshi wa muungano wa Afrika AMISOM.
Shambulizi hili limetokea muda mchache tu baada ya kukamilika kwa warsha
 ya viongozi wa mataifa yanayochangia wanajeshi wake katika jeshi la muungano
 wa Afrika AMISOM.
Siku ya ijumaa watu wengine zaidi ya 20 waliuawa katika mgahawa mwengine
 kufuatia shambulizi la Al Shabaab.
 

Rais masikini zaidi duniani. Unamfahamu?

Sifa kwa wanasiasa kokote duniani ni nadra, hasa kwenye mitandao ya kijamii, lakini watu wamemmiminia sifa Rais wa Uruguay baadhi wakitamani kama marais wao wangekuwa kama Rais Jose Mujica wa Uruguay.
Kwenye Twitter kuna zaidi ya ujumbe laki moja wa watu nchini Uhispania wakitamani kama waziri mkuu wao angekuwa kama Rais Maskini zaidi duniani Jose Mujica wa Uruguay.
Rais huyo anasifika kwa kuendesha gari kuu kuu , kuishi maisha ya watu wa kawaida na sehemu kubwa ya mshahara wake yeye hupatia mashirika ya misaaada ya kibinadamu...kiasi kwamba anajulikana kama Rais masikini zaidi duniani.

Na ndio maana waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy huenda asifurahie sana kufananishwa na Rais wa Uruguay.
Lakini swali ni watu wangapi duniani wanaweza kufananisha Rais Uruguay na marais wao? Ni Marais wangapi duniani wanatoa mishahara yao kwa mashirika ya misaada ya kibinadamu, kuishi maisha ya kawaida na kuendesha gari lililochoka?
Baadhi ya wananchi wanahoji kwa nini nchi kama Uruguay ambayo haina uchumi mkubwa ina huduma bora zaidi kwa jamii kuliko Hispania ambayo imekomaa kiuchumi wakati rais wake hana uchu wa madaraka na tamaa ya pesa?
Mitandao ya kijamii hutumiwa sana kwa mijadala kama hii. Swali ni je nani ana jambo zuri la kusema kumhusu Rais wake hasa katika hizi nchi zetu za Afrika? Unadhani kiongozi yupi barani Afrika anaweza kufananishwa na huyu Rais wa Uruguay? Je kuna Rais asiyeishi maisha ya kifahari enzi hizi?
Toa maoni yako.....

Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka 05-11-2015 to dat

Kazi
Mwaka 1982 hadi 1983 alikuwa Mwalimu Shule ya Sekondari Sengerema akifundisha masomo ya Kemia na Hisabati na  mnamo mwaka 1989 hadi 1995 alikuwa Mkemia wa Chama cha Ushirika cha Nyanza  (Nyanza Cooperative Union Ltd) Mwanza.

Harakati zake za kisiasa zilianza mwaka 1995 alipogombea kiti cha ubunge katika jimbo la Chato na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Ujenzi. Mwaka 2000 Dkt. Magufuli aligombea na kushinda kwa mara ya pili na kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Ujenzi.
Aidha, katika chaguzi za mwaka 2005 na 2010, aliendelea kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Chato na kushinda uchaguzi huo na kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi hadi mwaka 2008 alipohamishiwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, ambayo aliiongoza hadi mwaka 2010. Mwaka 2010 alipochaguliwa tena kuwa mbunge wa Chato aliteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi.
Elimu
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alipata elimu ya msingi  katika shule ya msingi Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1974. Pia alijiunga na elimu ya Sekondari katika shule ya Seminari Katoke-Biharamulo na Lake Sekondari-Mwanza kati ya mwaka 1975 hadi 1978. Aidha, mwaka 1979 hadi 1981 aliendelea na masomo yake ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Mkwawa Mkoani Iringa.
Dkt. Magufuli pia alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria akianzia Makutupora, Dodoma (Julai - Desemba 1983), kisha akaenda kambi ya Makuyuni, Arusha (Januari hadi Machi 1984) na akamalizia katika kambi ya Mpwapwa mkoani Dodoma (Machi – Juni 1984). Mwaka 1985 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Shahada ya Sayansi ya Elimu akibobea kwenye masomo ya Kemia na Hisabati na alihitimu mwaka 1988.
Kati ya mwaka 1991 na 1994 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Salford nchini Uingereza na baadaye mwaka 2006-2009 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamivu ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kutokana na taaluma yake  Dkt. Magufuli ameandika vitabu na machapisho mbalimbali.


Elimu
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli alipata elimu ya msingi  katika shule ya msingi Chato kuanzia mwaka 1967 hadi 1974. Pia alijiunga na elimu ya Sekondari katika shule ya Seminari Katoke-Biharamulo na Lake Sekondari-Mwanza kati ya mwaka 1975 hadi 1978. Aidha, mwaka 1979 hadi 1981 aliendelea na masomo yake ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Mkwawa Mkoani Iringa.
Dkt. Magufuli pia alijiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria akianzia Makutupora, Dodoma (Julai - Desemba 1983), kisha akaenda kambi ya Makuyuni, Arusha (Januari hadi Machi 1984) na akamalizia katika kambi ya Mpwapwa mkoani Dodoma (Machi – Juni 1984). Mwaka 1985 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akisomea Shahada ya Sayansi ya Elimu akibobea kwenye masomo ya Kemia na Hisabati na alihitimu mwaka 1988.
Kati ya mwaka 1991 na 1994 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Chuo Kikuu cha Salford nchini Uingereza na baadaye mwaka 2006-2009 alijiunga na masomo ya Shahada ya Uzamivu ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kutokana na taaluma yake  Dkt. Magufuli ameandika vitabu na machapisho mbalimbal

Kikubwa usichokijua kutoka kwa Tyga… ‘maana ya jina lake’ na mengine matatu

Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Tyga ni miongoni ya wasanii wanaofunga mwaka wa 2015 na excluvise interviews na mitandao pamoja na majarida mbalimbali ya burudani… Nimekutana na interview ya rapper huyo na mtandao wa Yahoo na ndani yake amegusia vitu vingi ikiwemo maana ya jina la ‘Tyga’ , umaarufu na mengine kibao.


Haya ndiyo niliyofanikiwa kuyanasa kupitia interview ya Tyga na mtandao wa Yahoo:
Maana ya jina lake la kisanii Tyga: Tyga inamaanisha ‘Thank You God Always – T.Y.G.A’ na ni jina lilotokana na tabia ya mama yangu kupenda kuniita Tiger Woods nikiwa mtoto kwa sababu kwa kipindi hicho naambiwa nilikuwa nafanana sana na mchezaji huyo mwenye umaarufu mkubwa duniani..


Yahoo3

MECHI ZA LEO BPL


Screenshot_2016-02-28-13-44-10-1

Mark Zuckerberg Becomes World's Sixth Richest Person As Facebook Shares Soar

Facebook FB -0.12% CEO Mark Zuckerberg surpassed Oracle ORCL -0.88% Chairman Larry Ellison to become the sixth richest person in the world in after-hours trading on Wednesday. Zuckerberg’s net worth increased $4.85 billion to $46.25 billion, as Facebook stock climbed 12% after the markets closed in response to Facebook’s strong quarterly earnings report. That puts Zuckerberg more than $2.5 billion dollars ahead of Ellison, who has a net worth of $43.6 billion.
During Wednesday’s earning call, Facebook announced that it had beat revenue and earnings forecasts for the fourth quarter 2015. Revenue was up 52% in the fourth quarter, with mobile revenue accounting for 80% of the total $5.84 billion in revenue. Facebook’s user growth increased 17% in the past year.
At the age of 31, Zuckerberg is the youngest of the world’s 10 wealthiest people. In September 2015, when Forbes released its annual Forbes 400 List, Zuckerberg became one of the 10 richest people in the United States for the first time. He’s now the 4th richest in the United States and 6th richest in the world. Zuckerberg first appeared on Forbes’ ranking of the 400 richest people in America in September 2008 with a net worth of $1.5 billion, more than three years before Facebook’s IPO in May 2012.
In December 2015, Zuckerberg pledged to donate 99% of his Facebook shares to the Chan Zuckerberg Initiative during the course of his lifetime.

CEO: FACEBOOK

REKODI ZA DUNIA

ERIC "WINKLE" BROWN afariki: Rubani wa Uingereza aliyeendesha aina nyingi za ndege kuliko rubani yeyote duniani

Capt. Eric aliendesha ndege za kivita kwenye vita ya pili ya dunia na anaewshikilia rekodi ya kuendesha aina nyingi za ndege alifariki katika hospitali ya East SURREY baada ya kuugua akiwa na miaka 97.


Eric 'Winkle' Brown in his younger yearsCaptain Eric Winkle Brown, aged ninety-six

REKODI ZA DUNIA

Paka mwenye miaka 26 ana wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
      
  Akiwa na miakan 26 siku 205, anajulikana kwa jina la Corduroy.
Paka huyo amevunja rekodi kwa kuwa paka mzee kuliko wote duniani hivyo kujizolea wafuasi katika mitandao ya kijamii kama instagram, twitter na facebook




The worlds oldest cat Corduroy is 26 years and 207 days old - 121 in human years

Avunja rekodi kwa "selfie" stick kubwa duniani



Anajulikana kwa jina la James Ware kutokea London ,Uingereza ambapo ametengeneza selfie stick hiyo kwa kutumia vyuma alivyoviunganisha pamoja.


hatareeee...





World's longest selfie stick

UPCOMING FIXTURES: Barclay's Premier League


Tue 1 Mar 2016 - Premier League
  • Sunderland v Crystal Palace 19:45

    • Aston Villa v Everton 19:45
    • Bournemouth v Southampton 19:45
    • Leicester v West Brom 19:45
    • Norwich v Chelsea 19:45
    Wed 2 Mar 2016 - Premier League
    • Man Utd v Watford 20:00       Tokeo la picha la barclays premier league results
    • Arsenal v Swansea 19:45
    • Stoke v Newcastle 19:45
    • West Ham v Tottenham 19:45
    • Liverpool v Man City 20:00
    Sat 5 Mar 2016 - Premier League
    • Tottenham v Arsenal 12:45
    • Chelsea v Stoke 15:00

    Barclays Premier League Table

    Barclays Premier League Table


    Team Statistics Position Team P W D L F A GD Pts Last 10 games results Match status
    Last updated 20 minutes ago

    No  1 Leicester 27 16 8 3 49 29 20 56
    1. Loss
    2. Draw
    3. Draw
    4. Win
    5. Draw
    6. Win
    7. Win
    8. Win
    9. Loss
    10. Win
    Report of Leicester's last match

    No  2 Tottenham 26 14 9 3 47 20 27 51
    1. Win
    2. Win
    3. Win
    4. Draw
    5. Loss
    6. Win
    7. Win
    8. Win
    9. Win
    10. Win
    Report of Tottenham's last match

    No  3 Arsenal 26 15 6 5 41 23 18 51
    1. Win
    2. Loss
    3. Win
    4. Win
    5. Draw
    6. Draw
    7. Loss
    8. Draw
    9. Win
    10. Win
    Report of Arsenal's last match

    No  4 Man City 26 14 5 7 48 28 20 47
    1. Loss
    2. Win
    3. Draw
    4. Win
    5. Draw
    6. Win
    7. Draw
    8. Win
    9. Loss
    10. Loss
    Report of Man City's last match

    No  5 West Ham 27 11 10 6 41 31 10 43
    1. Draw
    2. Win
    3. Win
    4. Win
    5. Loss
    6. Draw
    7. Win
    8. Loss
    9. Draw
    10. Win
    Report of West Ham's last match

    No  6 Man Utd 26 11 8 7 33 24 9 41
    1. Loss
    2. Loss
    3. Draw
    4. Win
    5. Draw
    6. Win
    7. Loss
    8. Win
    9. Draw
    10. Loss
    Report of Man Utd's last match

    No  7 Southampton 27 11 7 9 35 26 9 40
    1. Win
    2. Loss
    3. Loss
    4. Win
    5. Win
    6. Win
    7. Draw
    8. Win
    9. Win
    10. Loss
    Report of Southampton's last match

    No  8 Stoke 27 11 6 10 29 33 -4 39
    1. Win
    2. Win
    3. Loss
    4. Win
    5. Draw
    6. Loss
    7. Loss
    8. Loss
    9. Win
    10. Win
    Report of Stoke's last match

    No  9 Liverpool 26 10 8 8 38 36 2 38
    1. Loss
    2. Win
    3. Win
    4. Loss
    5. Draw
    6. Loss
    7. Win
    8. Loss
    9. Draw
    10. Win
    Report of Liverpool's last match

    No 10 Watford 27 10 7 10 29 28 1 37
    1. Draw
    2. Loss
    3. Loss
    4. Loss
    5. Loss
    6. Win
    7. Draw
    8. Loss
    9. Win
    10. Draw
    Report of Watford's last match

    No  11 Chelsea 27 9 9 9 40 37 3 36
    1. Draw
    2. Draw
    3. Win
    4. Draw
    5. Draw
    6. Win
    7. Draw
    8. Draw
    9. Win
    10. Win
    Report of Chelsea's last match

    No  12 Everton 26 8 11 7 46 35 11 35
    1. Loss
    2. Win
    3. Loss
    4. Draw
    5. Draw
    6. Draw
    7. Loss
    8. Win
    9. Win
    10. Loss
    Report of Everton's last match

    No  13 West Brom 27 9 8 10 27 34 -7 35
    1. Loss
    2. Win
    3. Win
    4. Draw
    5. Loss
    6. Draw
    7. Draw
    8. Loss
    9. Win
    10. Win
    Report of West Brom's last match

    No  14 Crystal Palace 27 9 5 13 29 35 -6 32
    1. Draw
    2. Draw
    3. Loss
    4. Loss
    5. Loss
    6. Loss
    7. Loss
    8. Draw
    9. Loss
    10. Loss
    Report of Crystal Palace's last match

    No  15 Bournemouth 27 7 8 12 30 44 -14 29
    1. Draw
    2. Loss
    3. Draw
    4. Loss
    5. Win
    6. Draw
    7. Win
    8. Loss
    9. Loss
    10. Draw
    Report of Bournemouth's last match

    No  16 Swansea 26 6 9 11 24 34 -10 27
    1. Draw
    2. Win
    3. Draw
    4. Loss
    5. Loss
    6. Win
    7. Win
    8. Draw
    9. Draw
    10. Loss
    Report of Swansea's last match

    No  17 Norwich 27 6 6 15 30 51 -21 24
    1. Loss
    2. Win
    3. Win
    4. Loss
    5. Loss
    6. Loss
    7. Loss
    8. Loss
    9. Draw
    10. Loss
    Report of Norwich's last match

    No  18 Newcastle 26 6 6 14 27 49 -22 24
    1. Draw
    2. Loss
    3. Loss
    4. Loss
    5. Draw
    6. Win
    7. Loss
    8. Loss
    9. Win
    10. Loss
    Report of Newcastle's last match

    No  19 Sunderland 27 6 5 16 32 51 -19 23
    1. Loss
    2. Loss
    3. Win
    4. Win
    5. Loss
    6. Draw
    7. Loss
    8. Draw
    9. Win
    10. Loss
    Report of Sunderland's last match