Popular Posts

Sunday, February 28, 2016

REKODI ZA DUNIA

Paka mwenye miaka 26 ana wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
      
  Akiwa na miakan 26 siku 205, anajulikana kwa jina la Corduroy.
Paka huyo amevunja rekodi kwa kuwa paka mzee kuliko wote duniani hivyo kujizolea wafuasi katika mitandao ya kijamii kama instagram, twitter na facebook




The worlds oldest cat Corduroy is 26 years and 207 days old - 121 in human years

No comments:

Post a Comment