Haya ndiyo niliyofanikiwa kuyanasa kupitia interview ya Tyga na mtandao wa Yahoo:
Maana ya jina lake la kisanii Tyga: “Tyga
inamaanisha ‘Thank You God Always – T.Y.G.A’ na ni jina lilotokana na
tabia ya mama yangu kupenda kuniita Tiger Woods nikiwa mtoto kwa sababu
kwa kipindi hicho naambiwa nilikuwa nafanana sana na mchezaji huyo
mwenye umaarufu mkubwa duniani..“
No comments:
Post a Comment