Popular Posts

Thursday, March 3, 2016

Michezo: Kama uliikosa ya muonekano wa Mbwana Samatta, Lionel Messi na Neymar kwenye Game ya FIFA 16



Kwa wapenzi wa michezo ya game hususani game za mchezo wa
 soka maarufu kama Play Station, huwa ni kawaida kuona wataalam
 wa game kutengeneza game za timu zinazopendwa na muonekano wa
 wachezaji wa timu husika lengo likiwa kujenga taswira halisi kwa mchezaji wa game.

fifa-17-no-messi
Huu ndio muonekano wa Lionel Messi katika Game ya FIFA 16

Screenshot_2016-03-02-16-10-53-1 

Huu ndio muonekano wa Mbwana Samatta ambapo kwa taarifa zisizo
 rasmi anatajwa kuwa huenda akawa mtanzania wa kwanza kuwemo katika 
Game ya FIFA 16 

fifa-16-release-date 

Muonekano wa wachezaji wa FC Barcelona akiwemo Neymar wa kwanza
 kulia katika Game ya FIFA 16 

No comments:

Post a Comment