ya Uingereza inaongozwa na kocha wake wa muda Guus Hiddink ambaye
ataiongoza klabu hiyo hadi mwisho wa msimu, Hiddink alijiunga na Chelsea
kuchukua nafasi ya Jose Mourinho ambaye alifukuzwa na timu hiyo.
March 3 gazeti la Stadio Corriere dello Sport linaripoti kuwa mmiliki wa
klabu ya Chelsea Roman Abramovich ameshawajulisha viongozi wote wa
Chelsea ikiwemo benchi la ufundi kuwa Antonio Conte ndio atajiunga na Chelsea
na kuwa kocha mpya wa timu hiyo, kwa mkataba wa miaka 3 wenye thamani
ya euro milioni 6 kwa mwaka.
No comments:
Post a Comment