Popular Posts

Wednesday, June 1, 2016

WACHEZAJI 10 MATAJIRI ZAIDI BARANI AFRIKA 2016

10.CHRISTOPHER SAMBA(USD 8MIL.)
Anacheza timu ya Dynamo Kiev ya Ukraine na timu ya taifa ya Congo

9.SEYDOU KEITA(USD 10MIL.)
Anacheza timu ya Mali na timu ya Barcelona

8.FREDERIC KANOUTE(USD 12MIL.)
Anacheza timu ya taifa ya Mali na club ya Beijing Guoan ya China

7.JOHN OB MIKEL(USD 15MIL)
Anacheza timu ya taifa ya Nigeria na club ya Chelsea

6.KOLO TOURE(USD 18MIL.)
Anacheza timu ya taifa ya Ivory Coast na club ya Liverpool ya Uingereza

5.MICHAEL ESSIEN(USD 25MIL.)
Anacheza timu ya taifa ya Ghana na club ya AC Milan

4.EMMANUEL ADEBAYOR(USD 27MIL.)
Anacheza timu ya taifa ya Togo na club ya Tottenham

3.YAYA TOURE(USD 65MIL.)
Anacheza timu ya taifa ya Kodivaa na club ya Manchester City

2.DIDIER DROGBA(USD 70MIL.)
Mchezaji wa timu ya taifa ya Kodivaa na club ya Galatasaray

1.SAMUEL ET'O(USD 90MIL.)
Mchezaji wa timu ya Cameroon na club ya Anzhi Makhachkala

Thursday, March 3, 2016

Miji 10 ya Afrika yenye Matajiri wenye utajiri wa zaidi ya BILIONI 60… Afrika Mashariki imetajwa miwili tu !



Hii ni dunia ambayo kila siku kuna watu wanafanya utafiti wa vitu duniani…
 sasa leo March 4 2016 nakuletea matokeo ya utafiti uliofanywa kwenye
 bara la Afrika na kuonyesha kwamba ifuatayo ndio miji kumi ya nchi za
 Afrika ambako Matajiri wengi wanapatikana.
Kila tajiri aliejumuishwa kwenye hii list ni yule aliye na utajiri unaozidi dola
 za kimarekani milioni 30 ambazo kwa Tanzania ni zaidi ya BILIONI 65 
 ambapo moja ya miji hiyo 10 Dar es salaam ipo pia ikiwa nafasi ya sita
 ikiwa na matajiri 36 wenye utajiri huo.
List kamili kwenye nafasi ya kumi ni mji wa 10Kano Nigeria
9Marrakesh Morocco 8Addid Ababa Ethiopia 7Abuja Nigeria 
 6Dar es salaam Tanzania 5Nairobi Kenya ambako kuna matajiri 
wa aina hiyo wapatao 69. Namba 4 ni Capetown South Africa yenye 
matajiri 115 wa aina hiyo. 3- Lagos Nigeria yenye 131 2- Cairo Egypt 
1. Johannesburg South Africa yenye matajiri wa aina hiyo 238.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 4 2016 kwenye Udaku, hardnews na michezo


20160304_053145
20160304_053212
20160304_053230
20160304_053244
20160304_053311
20160304_053337
20160304_053356
20160304_053407
20160304_053427
20160304_053436
20160304_053454
20160304_053510
20160304_053524
20160304_053534
20160304_053553
20160304_053611
20160304_053623
20160304_053644
20160304_053706
20160304_053716
20160304_053732
20160304_053750
20160304_053812
20160304_053826
20160304_053853
20160304_053911
20160304_053930
20160304_054001
20160304_054020
20160304_054032
20160304_054045
20160304_054054
20160304_054145
20160304_054200
20160304_054249
20160304_054300

Fid Q afunguka sababu ya kupenda kufanya kazi na wasanii wasiofahamika.Ipi hio?


fid q
Msanii nguli wa hip hop nchini Fid Q amefunguka na kusema kuwa yeye
 hupenda kufanya kazi na wasanii wengine ambao pengine hawana majina
 kwa wakati huo kwa sababu huamini zaidi kwenye kipaji kuliko jina.
Fid Q ameyafunguka hayo baada ya kuulizwa kwanini kwenye nyimbo zak
e nyingi hafanyi na watu wenye majina makubwa mfano Walk it off  ambayo
 amefanya na producer Taz tokea Zambia ambaye ni mpya masikioni mwa
 watanzania wengimara nyingi mimi hupenda kufanya kazi na watu wasiofahamika
 kwa sababu naamini kwenye talent zaidi kuliko majina,naamini kwenye kutengeneza nyimbo
 nzuri kuliko hit song.” alifunguka Fid Q ambaye alisema hapendi kufuata trend bali hutengeneza
 trend.
Source:Clouds

Entertainment;Tegemea ngoma nyingine ya Roma na Kala,Roma amefunguka

kupitia ukarasa wake facebook msanii wa hip hop,Roma
 amepost picha yake na kala wakiwa wamekaa kwenye
 gari bovu na kuandika kuwa anatarajia kuachia ngoma
 aliyofanya na na msanii huyo.
Je!!! Mko tayari kwa Ngoma Nyingine???mRoma & Kala
 ????? Endelea kuDownload #‎MtotoWaKigogo‬ #MtotoWaKigogo Link hii bofya http://bit.ly/MtotoWaKigogo http://bit.ly/MtotoWaKigogo” alipost Roma.

Kala


Bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa imetangazwa


March 1 2016 Mamlaka ya udhibiti wa huduma za
 nishati na maji nchini (EWURA) ilitangaza bei
 mpya ya bidhaa za mafuta ya Petrol, Diesel na
 ya mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla na
 rejareja ambapo bei hizo zitaanza kutumika kuanzia
 tarehe 2 march 2016.
Akiongea na waandishi wa habari Dar es salaam,
 Mkurugenzi wa huduma za nishati na maji (EWURA),
 Felix Ngamlagosi amesema kuanzia tarehe 2 March 
bei za mafuta zimebadilika ikilinganishwa na toleo 
lililopita la February 2016, kwa March 2016 bei ya
 rejareja za petroli imepungua Tsh 31 kwa lita sawa
 na 1.70%, Diesel imepungua Tsh 114 kwa lita sawa na
 7.10% na mafuta ya taa yamepungua kwa Tsh 234 kwa
 lita sawa na 13.75%
kwa kiasi kikubwa , kupungua huku kwa bei za mafuta
 kwenye soko la ndani kumetokana na kuendelea kushuka
 kwa bei za mafuta katika soko la dunia

Michezo: Kama uliikosa ya muonekano wa Mbwana Samatta, Lionel Messi na Neymar kwenye Game ya FIFA 16



Kwa wapenzi wa michezo ya game hususani game za mchezo wa
 soka maarufu kama Play Station, huwa ni kawaida kuona wataalam
 wa game kutengeneza game za timu zinazopendwa na muonekano wa
 wachezaji wa timu husika lengo likiwa kujenga taswira halisi kwa mchezaji wa game.

fifa-17-no-messi
Huu ndio muonekano wa Lionel Messi katika Game ya FIFA 16

Screenshot_2016-03-02-16-10-53-1 

Huu ndio muonekano wa Mbwana Samatta ambapo kwa taarifa zisizo
 rasmi anatajwa kuwa huenda akawa mtanzania wa kwanza kuwemo katika 
Game ya FIFA 16 

fifa-16-release-date 

Muonekano wa wachezaji wa FC Barcelona akiwemo Neymar wa kwanza
 kulia katika Game ya FIFA 16 

Msanii aliyejitokeza na kusema ‘shika adabu yako wa Nay wa mitego ni wimbo mzuri’

Kwenye game ya bongofleva moja ya stori zilizopita sana juzi kati ni wimbo wa ‘shika adabu yako‘ wa Nay wa Mitego kuripotiwa na vyombo vya habari kwamba umepigwa marufuku kuchezwa kwenye Media  kufungiwa na baraza la sanaa Tanzania (BASATA) ambapo taarifa hizo zimemfikia na msanii wa bongofleva Mzungu Kichaa.
Mzungu Kichaa ametoa maoni yake kwa kusema ‘sikutegemea kwamba wimbo wa Nay wa Mitego ungefungiwa, ameongea vitu vya maana… anaongea kuhusu msumeno usiong’ata, pale anawalenga BASATA moja kwa moja lakini ni kitu ambacho inabidi BASATA wawe tayari kukichukua, wasione ni kitu kibaya… hiyo iwe mwanzo wa mazungumzo kujadili kitu, wasifungie tu wimbo
Napinga kuleta Upolisi kwenye sanaa kama hivi…. mi nimeupenda sana wimbo washika adabu yako’ na nilikwenda kusoma mashairi kwanza kabla hata ya kuusikiliza wimbo, sio kwamba nakubali kila alichoandika pale ila ni vizuri kuwa na msimamo na kuongea kitu kinachotokea kwenye jamii ili tukijadili hata kama amesema kitu kibaya’ – Mzungu Kichaa 


General News: Vichwa 6 vya Habari kwenye TV za Tanzania March 2 2016



20160302_200240

20160302_200806

20160302_201210

20160302_201521