Popular Posts

Sunday, February 28, 2016

REKODI ZA DUNIA

ERIC "WINKLE" BROWN afariki: Rubani wa Uingereza aliyeendesha aina nyingi za ndege kuliko rubani yeyote duniani

Capt. Eric aliendesha ndege za kivita kwenye vita ya pili ya dunia na anaewshikilia rekodi ya kuendesha aina nyingi za ndege alifariki katika hospitali ya East SURREY baada ya kuugua akiwa na miaka 97.


Eric 'Winkle' Brown in his younger yearsCaptain Eric Winkle Brown, aged ninety-six

No comments:

Post a Comment